IGP Wambura amesema hadi sasa zipo kesi chache ambazo zipo chini ya upelelezi
IGP Wambura amesema hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Mashtaka wa Mikoa, Wakuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mikoa na Wakuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mikoa ambapo amesema kuwa, kutokana na ushirikiano uliopo kwenye suala la utendaji na kuwa na mawasiliano ya karibu umesaidia kushughulikia upelelezi wa kesi na uendeshaji wa mashtaka