
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Muriet waliofunga barabara,
Mwenyekiti wa Kata ya Muriet Emmanuel Sanale, ameomba Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Arusha kufanya jitihada za haraka za kurekebisha barabara hiyo kwa kuwa ni nyembamba.
Kwa upande wake mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya kufika katika eneo hilo ameahidi kufuatilia na kutatua changamoto ya barabara hiyo Ili kupunguza madhara ya mara kwa mara ya vifo vinavyotokea.