Monday , 18th Apr , 2022

Serikali ya Rwanda imetoa Hoteli maarufu Jijini Kigali ya Hope House kwa ajili ya kuwahifadhi wahamiaji wanaoomba hifadhi kutoka nchini Uingereza

Awali Hoteli hiyo watalii walilipa zaidi ya elfu 50 za kitanzania kwa usiku mmoja ambapo kwa sasa itatumika na wahamiaji hao wakati masuala yao yakishughulikiwa

Hivi karibuni Rwanda na Uingereza ziliingia makubaliano ya kupokea wahamiaji ambao wanatokea nchini Uingereza ambao watakaa  nchini hapo hadi masuala yao yatakapopatiwa ufumbuzi na kurejea katika nchi zao