Monday , 18th Apr , 2022

Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika, anadaiwa kukatika miguu yote miwili  baada ya gari lake kugonga mnazi katika eneo la Tuangoma Kigamboni mkoani Dar es Salaam.

Gari iliyopata ajali

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Aprili 18, 2022. Tarifa zaidi zinafuata.