
Picha ya Kajala na Harmonize kabla penzi lao halijavunjika
Ujumbe huo wa Kajala unaeleza kuwa "Mfano kamili kwamba kuwa peke yako ni bora kuliko kuwa na mtu asiye sahihi/mbaya".
Tayari Harmonize ametumia njia kama ya kuweka bango la picha yake akiwa na Kajala maeneo ya Kinondoni, kuandika jina la Kajala kwenye gari ya kifahari, kuweka picha yake ukutani mwake yote hayo ni kutaka kumshawishi ili warudiane.