Sunday , 17th Apr , 2022

Msanii Lulu Diva anasema chanzo cha kuanza kujichubua imetokana kutojikubali, ushawishi,kupenda urembo na kutamani kupata rangi ya kung'aa.

Picha ya msanii Lulu Diva

Lulu Diva ameongeza kusema madawa hayo aliyokuwa anatumia yalimkataa na sasa hivi anatumia sindano zenye Vitamin C ili kurejesha ngozi yake ya mwanzo.

Zaidi tazama hapa kwenye video.