Muima anatakiwa kutoa mahari ya ng'ombe 12 ili amuoe Theresa.
Pamoja na kupishana umri wa miaka 60, wawili hawa wanapendana sana na wenyewe wanakuambia umri ni namba tu kwao.
Anaitwa Muima, kijana wa miaka 25 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyezama katika penzi la Theresa bibi wa miaka 85.