Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu
Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 11, 2022, Bungeni Dodoma baada ya kuchaguliwa na wabunge kwa kura za ndiyo 296 sawa na asilimia 98.33.
Tazama video hapa chini
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Zungu, amewaahidi wabunge wa bunge hilo kushirikiana nao ili kuleta mustakabali mzuri wa Taifa.