Thursday , 6th May , 2021

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa kulikuwa na kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, lakini hakuna mbunge yeyote aliyejiandikisha kwa ajili ya kuuliza maswali hayo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Kauli hiyo ameitoa leo Mei 6, 2021, Bungeni Dodoma, wakati wa mkutano wa tatu, kikao cha 14 cha Bunge la 12.

"Waheshimiwa wabunge, hakuna mbunge aliyejiandikisha kwa ajili ya kumuuliza maswali Waziri Mkuu",amesema Naibu Spika