Wednesday , 5th May , 2021

Baada ya ukimya wa miaka mitatu sasa rapa J Cole anakuja na album mpya, J Cole ameonesha cover ya album yake ijayo “The off season” ambayo itatoka rasmi Mei 14 mwaka huu.

Picha ya msanii J Cole

The Off-Season itakuwa album yake ya sita baada ya KOD kirefu chake ni (Kids on Drugs, King Overdosed na Kill Our Demons) ya 2018.