
kushoto ni Video Vixen Cappuccino Tunda, kulia ni Whozu na kwenye picha ndogo ni Mwajaku
Katika tukio hilo Cappuccino Tunda aliweza kuwalika mastaa wengi ili waweze kumsapoti kama Whozu, Linah Sanga, Recho, Young Lunya, Uchebe, Masha Lovie, Mwijaku, Aristote, Official Nai, Amber Lulu na Zee Cuty.
Sasa moja ya kauli ambayo ilileta utata ni pale msanii wa filamu Mwijaku aliposema Tunda ndiyo binti pekee aliyefanikiwa kufanya jambo hilo na umri wake ni mdogo kwani ana miaka 21, pia ni pisi isiyochuja.
Zaidi tazama hapa chini kuona tukio hilo.