Ze Comedy

Born : July 27.

A.K.A Mtanga, au baba Shadya! Mimi ni mmoja wa mchekeshaji mahiri nchini Tanzania. Ucheshi nimeanza mwaka 2001, baada ya kuhitimu elimu ya sekondari pale Azania. Napenda sana kujifunza vitu tofautitofauti, hasa kutoka kwa wasanii wachanga. Zaidi ya kuchekesha, mimi pia ni muimbaji mzuri sana na ni mcheza mpira wa miguu, nambari 10 mgongoni!