Mo Music
Akiongea kupitia eNewz Mo Music mwaka 2016 haukuwa mzuri sana kwenye maisha yake kwa kuwa alikuwa na kesi mahakamani na aliyekuwa mchumba wake.
Hata hivyo Mo Music hakusita kuwashukuru mashabiki zake wanaomsapoti kwa mwaka 2016 na kuwaahidi kuachia nyimbo kali na kuwapatia mashabiki zake kile wanachokipenda kutoka kwake