.jpg?itok=PNS4XGwO×tamp=1478528378)
Kilimanjaro Qeens
Afisa Habari wa TFF Alfred Lucas amesema, ligi hiyo ilitakiwa kuendelea kesho lakini utapigwa mchezo mmoja pekee ambao ni Panama dhidi ya Marsh Academy ya Mwanza huku Twiga ikiwa tayari kambini na inatarajiwa kuondoka hapo kesho kuelekea nchini Cameroon kwa ajili ya mchezo huo.
Lucas amesema, mchezo wa Panama dhidi ya Marsh Academy ulipangwa kupigwa mara baada ya Twiga kumaliza mchezo dhidi ya Cameroon lakini kutokana na Panama kuwa tayari imeshawasili Mwanza wameamua mchezo huo uchezwe.