Wednesday , 6th Jan , 2016

Pauline Zongo, msanii mkongwe katika sanaa ya muziki hapa Bongo akiwa anaielewa gemu kwa undani amesema kuwa nafasi ya Waziri Nape Nnauye katika Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni changamoto, akiwa na imani katika utendaji wake.

msanii mkongwe katika sanaa ya muziki hapa Bongo Pauline Zongo

Nyota hiyo amesema kuwa mheshimiwa huyo anatakiwa kuendelea kujali wasanii, akieleza kuwa kwa upande wake anajua kuwa Waziri huyo ni mtendaji mzuri.