
Virusi vya Ukimwi kama ilivyo kwa homa ya ini, asilimia 80 huenea kwa njia ya ngono zisizo salama, kujamiiana kinyume na maumbile kuongezewa damu yenye maambukizi, kuchangia vifaa vya kutoga na hata kwa njia ya jasho.
Mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha Afya na Sayansi za Tiba Profesa Said Aboud amesema maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini hivi sasa ni makubwa na kutaja madhara anayopata mgonjwa kuwa ni mgonjwa kupata Saratani ya ini.