Mbwana Samatta
Wakiwa nyuma kwa bao moja lililofungwa na mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, Samatta aliifungia Genk bao la kusawazisha dakika ya 55.
Huo unakuwa mchezo wa 63 kwa Samatta tangu asajiliwe Genk kutoka TP Mazembe ya DRC.