Friday , 10th Jun , 2016

Kiungo mkongwe wa Manchester United, Michael Carrick ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo.

Carrick anaongeza mkataba wa mwaka mmoja chini ya Kocha mpya, Jose Mourinho huku wengi walikuwa wakiamini itakuwa vigumu kupewa nafasi hiyo.

Kiungo huyo mwenye miaka 34, amekuwa uti wa mgongo wa kiungo cha timu hiyo ambayo ni mabingwa wa Kombe la FA.

Carrick alijiunga na Man United kwa mara ya kwanza mwaka 2006 akitokea 2006.