Mwenyekiti wa CHANETA bi Anna Kibira amesema kuwa pamoja na kutopata udhamini wa kutosha lakini mambo mengine kiutawala wameshayakamilisha na kutanabaisha kuwa kwa maandalizi ya vilabu vya tanzania wanauhakika wakulibakisha kombe hilo hapa nchini.
Zikiwa zimebaki takribani siku mbili kabla ya mashindano ya klabu bingwa ya netball kwa nchi za afrika mashariki kuanza katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam, uongozi wa chama cha netball Tanzania CHANETA ambao ndio wenyeji wa michuano hiyo mik