
JKT ambayo ilisimika mizizi mkiani mwa msimamo kwa muda mrefu tangu kuanza kwa ligi, kwa sasa ipo nafasi ya 10 na pointi 12.
“Bado hatuko salama katika janga la kushuka daraja, ndiyo maana niliona kuna kila sababu ya kuendelea na programu za mazoezi kipindi hiki cha likizo,” alisema kocha huyo wa zamani wa Simba.