
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara (Pichani)

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo.

Bosi wa klabu ya PSG, Nasser El Khelaif (Kushoto) akimkabidhi Neymar Jr (Kulia) mara baada ya kukamilisha usajili wa nyota huyo raia wa Brazil.

Msanii wa mashairi Tanzania Mrisho Mpoto

Rais Magufuli akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani hapa nchini Donald John Wright Ikulu Dar es Salaam.

Wachezaji wa Simba wakishangilia ubingwa wao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole