![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2019/02/14/Haji4.jpg?itok=qLG1GsSQ×tamp=1550124038)
Haji Manara na mkewe
Katika kufurahia siku hiyo, Manara amewataka wapenda nao wote nchini Tanzania kutoitumia vibaya siku hiyo kwa kufanya maasi, bali waitumie kwa kufanya mambo mema.
Maneno hayo ameyaandika katika ukurasa wake wa Instagram, ambayo yanasema,
Valentine Day ni sikukuu ambayo wapendanao ikiwemo wapenzi, wanandoa, ndugu, wazazi na marafiki hupeana zawadi mbalimbali zenye kuashiria upendo kati yao.