
Wasanii wa Muziki Tanzania
Kupitia mahojiano na EATV, wasanii hawa na kwa niaba ya wengine wote, AT kutoka Tanzania visiwani, na pia Nicky wa pili kutoka Tanzania Bara wamekuwa na haya ya kusema kuhusiana na muungano huu unaotimiza miaka 50 leo.
Sauti ya AT
Sauti ya Nikki wa Pili