Thursday , 21st Aug , 2014

Msanii wa muziki Tundaman amesema kuwa, katika mpango wake wa kuanzisha shule ya muziki, amekwishakamilisha sehemu kubwa ya kazi na sasa anashughulikia vibali vya serikali ili kuendesha shule hii kihalali.

msanii wa bongo Tundaman

Tundaman amesema kuwa, shule hii ambayo itatoa nafasi kwa wasanii kujifunza kitaalam muziki wanaoufanya, imekwishakamilika majengo na pia walimu wake watakuwa tayari.