Thursday , 14th Aug , 2014

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity ameweka bayana nia yake ya kuingia kikamilifu katika siasa mwaka 2015, akiwa na nia dhahiri ya kugombea ubunge katika jimbo la Kinondoni ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM.

muigizaji wa filamu nchini Tanzania Steve Nyerere

Steve Nyerere amesema kuwa, amefikia uamuzi huu kutokana na kuona kuwa anaweza kuzipigania haki na kutatua matatizo ya wasanii wenzake, na hata wananchi wa kawaida.