msanii wa nchini Kenya Size 8 akiwa na mama yake
Mwanadada huyo ameungwa mkono na msanii mwenzake Lady B kutoa wito kwa mashabiki kusaidia kupatikana kwa fedha za matibabu ya mzazi wake huyo.
Kwa njia ya mtandao, Lady B ameeleza kuwa, akiwa kama mama anaelewa kabisa uzito wa kuwa na mama mgonjwa, akiwataka wakenya kuungana kumsapoti Size 8 katika kipindi hiki cha majaribu kwake.
Kuuguliwa kwa msanii huyu, kumemfanya kusitisha shughuli zake za muziki kutoa nafasi ya kumhudumia mgonjwa ambaye matibabu yake yanahitaji gharama kubwa kufanyika, nchini India.





.jpg?itok=5cvL0YaP)

