Wednesday , 18th Nov , 2015

Katika kipindi hiki ambacho kuna mvutano mkubwa juu ya wasanii bora hapa Tanzania hususan kwa upande wa mashabiki, nyota wa muziki Belle 9 amesema sapoti ambayo amekuwa akipata katika muziki wake, ameamua kuihamishia katika kufanya kazi nzuri.

staa wa muziki wa bongfleva Belle 9

Belle 9 ambaye utaratibu wa uendeshaji wa shughuli zake unaonekana kuamka na nguvu mpya, amesema kuwa anatambua sapoti anayoipata kutoka kwa watu wake, miaka 8 tangu kuanza muziki, kama anavyoeleza hapa.