msanii wa muziki wa bongofleva nchini Ruby
Ruby amesema kuwa, anaamini kuwa kuuzika ama kutokuuzika kwa albam kunatokana na uzuri wa kazi, jinsi msanii anavyoitengeneza, ikiwa ndio mkakati pekee wa yeye kuiwasilisha kazi hiyo katika siku za usoni.
Msanii wa muziki Ruby amesema kuwa, kwa sasa anajipanga kwa ajili ya kuachia Albam akiwa anajiamini kuwa atafanikiwa kuiuza licha ya kuwepo kwa changamoto ya kusuasua kwa mauzo ya albam za muziki Bongo.