Thursday , 10th Apr , 2014

Mtayarishaji muziki kutoka Authentic Studios ambaye pia ni Meneja wa msanii Young Dee, Maxmillian Rioba ameamua kuonesha upande mwingine wa kipaji chake katika muziki, ambapo na yeye ameachia ngoma yake mwenyewe inayokwenda kwa jina Lisa Love.

Maxmillian Rioba

Akiongelea kazi hiyo Max amesema kuwa, hii ni sehemu tu ya kazi nyingi ambazo amekuwa akizifanya na kuziweka studio akiwa kama mtayarishaji mwenye uwezo na mapenzi makubwa ya kuimba.

Unaweza kusikiliza kazi hii mpya kutoka kwa Max hapa;