Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwakyembe awaumbua wasanii

Saturday , 18th Nov , 2017

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amewataka wasanii wa filamu Tanzania kuacha kutumia 'soundtrack' kwenye filamu za kitanzania ili kuleta uhalisia wa utamaduni wetu, kwani kufanya hivyo ni ushamba mkubwa.

Waziri Mwakeyembe ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wageni waliofika kwenye uzinduzi wa television mpya ya Jasson, ambayo itakuwa inaonyesha kazi za sanaa za Tanzania, na kuwataka wasani wa Tanzania kutumia viu vya kitanzania ili kutangaza Utanzania na kuwa na maudhui ya Mtanzania.

"Soundtrack hakuna sababu kwa nchi tajiri kwa muziki kama Tanzania kwa msanii wa Kinyakyusa, msanii wa Kimakonde kutumia soundtrack eti za kizungu, ashakhum si matusi huo ni ushamba kwa kweli, ni matarajio ya wizara  baada ya miaka kadhaa mtu akisikia soundtrack ya , Mdumange, Mganda, Sindimba ajue anaangalia filamu ya Tanzania", amesema Waziri Mwakyembe.

Pamoja na hayo Waziri Mwakyembe amewataka wasanii hao kuzingatia matumizi ya lugha ya Kiswahili, ambayo kwa sasa inatambulika zaidi duniani.

Tazama video yote hapa 

 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90