Juma Nature
Akipiga story ndani ya eNewz amesema “Ingekuwa muonekano mzuri ni Afrika Kusini wimbo wangu wa 'hili gemu' mi ndo nimeanza kufungua hiyo South Africa ndo watu wakaanza kwenda kuangalia na kuanza kufuatilia ”.
Hata hivyo Juma Nature hakuishia hapo, alizidi kueleza kwa kusema “Kwenda south ni mpaka niamue mimi mwenyewe kwa kuwa sijaona kitu kipya cha kunipeleka south, kuna waandaaji kibao hapa nchini na wanafanya vizuri tu”




