Saturday , 15th Mar , 2014

Msanii MB Dogg, ambaye kwa sasa amerejea kwa kasi katika game ya muziki akiwa na ngoma mpya ambayo inakwenda kwa jina Umenuna, ameweka wazi kuwa kwa sasa amerudi katika usimamizi uleule aliokuwa amepishana nao maelewano

Japo MB Dogg hakusema moja kwa moja kuwa amerudi Tip Topp Connection, msanii huyu amesema kuwa, kwa sasa amerudi kufanya kazi zake na Babu Tale, Abdu Bonge na wengine ili kuhakikisha kuwa kazi zake zinanyiika kama zamani.

Msikie MB Dogg Mwenyewe hapa akieleza.