
Nikki Mbishi
Akiongea na EATV Nikki Mbishi anadai kina Wema Sepetu, Mr Blue na wasanii wengine wengine waliotaja ni wadogo, tena watoto wadogo hata kwa umri kwani madawa yalikuwepo kabla yao na watu wametajirika na kupika pesa nyingi sana kupitia hayo hayo madude.
Itazame hapa video nzima Nikki Mbishi akifunguka sakata hili la wasanii kukamatwa na kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya.