Wednesday , 19th Nov , 2014

Msanii wa muziki Linah Sanga akiwa chini ya Menejimenti ya No Fake Zone, amesema kuwa amepata nafasi ya kufanya project kubwa zaidi ya ile ya Ole Themba akiwa na usimamizi wa kueleweka wa kazi zake.

msanii wa muziki wa bongofleva Linah

Katika mahojiano tuliyofanya naye, Linah amesema kuwa, kazi hii itazingatia mambo muhimu ikiwepo bajeti ya kueleweka, bila kutaka kuweka wazi zaidi kazi yenyewe, na hapa anasema.