Thursday , 24th Dec , 2015

Kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la kutoka kwa kazi za wasanii katika kipindi hiki msanii wa muziki Julio amesema binafsi anautafsiri msimu huu kama wimbi la ngoma kali kutokana na kupita kwa vuguvugu la uchaguzi lililozuia wasanii wengi kutoa kazi

msanii wa muziki wa bongofleva nchini Julio Batalia

Julio amesema kuwa, hii ni nafasi ambayo inaonesha dhahiri kuwa ni nani msanii mkali na ni nani anapwaya katika game, kitu ambacho ni muhimu katika biashara yoyote ya ushindani.