
John Blass
Mchongo huu utasaidia kuingiza muziki anaotengeneza katika soko la kimataifa kwa kuiuza kupitia mitandao maarufu kama Amazon na i-Tunes.
John B amesema kuwa, kazi rasmi na kampuni hii itaanza Tarehe 6 mwezi Mei, na hii itafaidisha kwa kiasi kikubwa wasanii kuingia katika jukwaa la kimataifa na kuuza kazi zao katika wigo mpana zaidi kupitia Grandmasters.
Kuhusiana na mchongo huu, hapa John B anafafanua zaidi.