Rapa mkali wa Bongo Jay Moe
Jay Moe amesema kuwa, katika kiwanda cha burudani ya muziki kwa sasa, inawezekana kabisa kukutana mara nyingi na video ambayo mtu hajawahi kusikia rekodi yake kabla, kitu ambacho si sawa kama anavyoeleza mwenyewe.
Rapa J Moe, ameeleza kuwa mabadiliko yaliyotokea katika game ya muziki na kuwavuta wasanii kuwekeza katika video zaidi, yameondoa ubora katika kazi wanazofanya na pia kuvuta mashabiki katika kutazama video zaidi na siyo ubora wa rekodi yenyewe.