rapa Jay A wa nchini Kenya
Jay A anayetamba na wimbo wake 'Dumbala' remix akishirikisha wasanii DNA, Kenrazy, Sage na pia kuwahi kuimba pamoja na mwimbaji Nene wa Rwanda, ameelezea kuwa anatarajia kutoa kazi mpya na wasanii wakubwa wa kimataifa.
Hii itakuwa ni project yake kubwa kwa mkali huyo ambaye hakutaka kuwataja wasanii hao mpaka hapo mambo yakiwa yamekamilika.





