Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sajenti amchana Gabo kisa penz*

Wednesday , 23rd Aug , 2017

Muigizaji na mnenguaji  Husna Sajent ameibuka na kumsifia mpenzi wake ambaye ni msanii wa singeli Tanzania Dullah Makabila na kusema ni mwanaume anayewajali watoto wake sana kuliko hata wazazi wenzake alioza nao ambao pia ni watu maarufu.

Husna Sajenti akiwa na mpenzi wake Dullah Makabila

Akipiga Story kwenye eNewz ya EATV, Sajent amesema pamoja na kwamba ameingia kwenye mahusiano na msanii huyo akiwa tayari ana watoto wawili ambao mmoja alimpata akiwa na muigizaji Gabo, na mwingine amempata na muimbaji Charles Baba lakini Makabila amekuwa akiwaonyesha watoto wake mapenzi mazito kuliko baba zao.

"Nachopenda ni kwamba Dullah anawapenda sana watoto wangu kuliko hata hao baba zao maana yupo nao 'busy' sana. Kusema kwamba wazazi wenzangu watahitaji watoto wao hawawezi kwa sababu wao wana familia zao tayari na mimi nina maisha yangu. Wakati mwingine huwa nawauliza au wake zao wanawazuia au maana wanatambua kuwa wana watoto lakini hawajali kibile wakati mimi nimewapa uhuru wanangu kuwa karibu na baba zao lakini wao hawaonyeshi kujali kiivyo, lakini kwa vile wanangu wanasoma shule nzuri na waishi vizuri mengine mimi sijali" Sajent alifunguka.

Pamoja na hayo Sajent amesema kwa jinsi wanavyoishi kwenye mahusiano na Dullah Makabila anaamini ndoa ipo mbeleni ingawa hapendi kuzungumzia sana suala hilo na kwamba anamuachia majukumu mshenga pamoja na mpenzi wake huyo.

"Nataka watanzania wafahamu kuwa mimi na Dulla kabila ni wapenzi wa muda mrefu sasa na tupo katika hatua za mwisho kufuatilia maswala ya kufunga ndoa japo mimi kama mwanamke siwezi kuongelea swala la ndoa sana namuachia Dulla" Sajenti

Pia  Husna aliendelea kusema kuwa anaamini mahusiano yake na Dulla yatadumu kwa muda mrefu tofauti na watu wengine maarufu kutokana na jinsi ambavyo wamekuwa wakiheshimiana na kuwekana wazi matatizo yao pale inapohitajika kwa kuwa wanaaminiana.
 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90