Tuesday , 8th Jul , 2014

Mashambulizi ya milipuko inayosadikiwa kusababishwa na kundi la Al Shabaab nchini Kenya yameendelea kuzorotesha sio tu uchumi na maendeleo ya nchi bali pia kuathiri kwa kiasi kikubwa tasnia ya burudani nchini humo.

Msanii Nonini wa nchini Kenya

eNewz imepata fursa ya kuongea na mmoja wa wasanii maarufu nchini Kenya Nonini kuhusiana na hali hiyo ambayo hivi sasa watu wamekuwa wana hofu kwenda sehemu mbalimbali za starehe nchini humo.