Friday , 27th Feb , 2015

Star wa muziki na filamu, Hemedy PHD amefunguka juu ya mtazamo mpya wa maisha yake ambapo amesema katika umri alioufikia, amebakiza miaka 3 tu kutengeneza maisha ya baadaye ambayo yanaeleweka kwa jamii.

Hemedy PHD

Star huyo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 27, amesema kuwa akifika umri wa miaka 30, mpango wake ni kuigeukia dini zaidi na kufanya shughuli kwa jamii ambazo zitakuwa zikimrejeshea thawabu na pia heshima kutoka kwa jamii.

Tags: