G-Nako
wakiwa sasa wao ndio wapo mstari wa mbele kutafuta mashavu ya kolabo pamoja na shoo hapa nchini.
G amesema kuwa, kwa kipindi sasa imekuwa ni wasanii kutoka hapa nchini wanaowatafuta wasanii kutoka nnje kwaajili ya mipaka, akiwa sasa kwa upande wake ana simu kadhaa za mastaa wakubwa kabisa ambao wamekwishaonyesha nia ya kufanya naye kazi.


