Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dkt. Shika ni baraka toka kwa Mungu

Thursday , 16th Nov , 2017

Msanii Kala Jerimah amewataka watu kumpenda na kumthamini Dkt. Louis Shika, kwani mzee huyo ni mpango na baraka kutoka kwa Mungu kwetu sisi Watanzania.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Kala Jeremiaha ameandika ujumbe akisema kwamba amemsikiliza kwa makini mzee huyo ambaye hivi sasa ni maarufu hapa bongo, na kusema kwamba haijalishi madhaifu aliyonayo, ila ana hakika ni mpango wa Mungu na baraka zake kuwepo kwake duniani.

Nimesikiliza kwa makini sana maelezo ya mzee wetu. sitaki kuongelea utajiri wake wala umaskini wake nataka kuongelea majaribu aliyokutana nayo katika safari ya maisha yake. Ni wazi kuwa mzee huyu yupo duniani kwa kuwa mungu kamchagua na Mungu humchagua mtu kwa kusudi lake. Nionavyo mimi mzee huyu ni baraka kutoka kwa Mungu haijalishi madhaifu yake ila kwa uhakika ni mpango wa mungu kuwepo kwake kwetu”, ameandika Kala Jeremiah.

Kala ameendelea kuandika akisema kwamba ...”niwaombe wanajamii tumuonee huruma na tumpende, hicho ndicho kitu pekee anachohitaji mzee huyu na kwa hakika amekikosa kwa miaka mingi, haitakugharimu chochote kumhurumia na kumpenda, nawaomba”.

Dkt. Louis Shika alipata umaarufu wiki iliyopita baada ya kutangaza kununua nyumba zinazopigwa mnada na serikali za bilionea Lugumi, na kutaja kiasi kikubwa cha pesa huku mfukoni hana pesa yoyote, kitendo kilichosababishwa apelekwe polisi na kuwekwa rumande.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90