Dance 100%
Kinachotakiwa kufanyika sasa, kwa wewe unayehitaji kuingia katika kinyanganyiro kwa mwaka huu ni kuendelea kujipanga kwa kuunda kundi la watu 5 hadi 8, na kuanza kujifua kwa mazoezi makali tayari kwa kuwapagawisha majaji, kutokana na ushidani wa mwaka huu kuwa mkubwa zaidi.
Ni Zamu Yako sasa, Jipange tayari kabisa kwa Dance100%2015.