Monday , 30th Nov , 2015

Katika kuleta mapinduzi ya biashara ya kazi za wasanii, Rapa Counrty Boy kutoka hapa Tanzania anatarajia kukamilisha taratibu za kuingiza mixtape yake ya Kama Ulaya vol. 2 katika mtandao wa kimataifa wa Itunes.

Rapa Country Boy kutoka nchini Tanzania

Country Boy vilevile ametoa tahmnini yake juu ya mauzo ya mixtape hiyo wiki mbili baada ya kutoka kwake, akiwa mfano wa wasanii waliojiongeza na kufanya biashara ya kazi zao katika soko gumu kabisa la bidhaa hiyo – Tanzania.