msanii Cindy Sanyu wa Uganda akiwa na mchumba wake Ken Muyiisa
Cindy kwa njia ya mtandao ameshirikiana na mashabiki wake hisia zake na kusema kuwa, yupo katika njia panda kwa kugundua kuwa kila alichokuwa anakifahamu kuhusu mtu wake wa karibu ni uongo mtupu.
Bado haijathibitika endapo Cindy na Ken watasitisha mahusiano yao kwa hili, kukiwa na tetesi pia kuwa mwanamuziki huyu ana ujauzito kwa sasa, suala ambalo tayari amesema sio la kweli.