Mwana hip hop kutoka kanda ya Kaskazini, Chabba
Chabba ambaye amebadilika kwa kiasi kikubwa katika kazi hii mpya iliyoongozwa na Inno Mafuru, amefafanua maana yake kwa Afrika Mashariki.
Akiwa pia ni msanii aliyejijengea heshima kupitia misingi ya Hip Hop, staa huyu pia akatoa tathmini yake kuhusiana na gemu hiyo kwa sasa, akikiri kuwepo kwa ma 'rapa' wengi wanaorap bila kujua ama kuhusisha misingi mitano ya muziki huo.
Msikilize hapa:-