Tuesday , 24th Jun , 2014

Kutoka nchini Uganda, msanii wa muziki Bobi Wine ameingia katika majonzi mazito kufuatia kukumbwa na msiba mzito baada ya kaka yake anayejulikana kwa jina James Kayanja Sentamu kufariki dunia.

Msanii wa Uganda Bobi Wine

Msanii huyu kupitia ukurasa wake wa facebook ametoa taarifa rasmi kwa familia na mashabiki wake, huku akipokea ujumbe wa pole na faraja kutoka kwa mamia ya mashabiki ambao wanafuatilia kwa karibu kazi zake za muziki.

Pole sana Bobi Wine May God rest your brother James Kayanja Sentamu in eternal Peace. Amen.