msanii wa muziki wa nchini Uganda Bebe Cool
Staa huyo ameeleza kuwa albam hiyo inahusisha lugha tofauti ili kuwafikia watu wengu zaidi, ikiwepo Kiingereza na Kiswahili, na kupitia eNewz hapa Star huyo moja kwa moja kutoka Uganda anafafanua kuhusiana kile ambacho albam hii inakibeba kwa ujumla.