Tuesday , 18th Feb , 2014

Dayna Nyange, Msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ya Mimi na Wewe, baada ya kumaliza ziara yake ya kimuziki huko Kanda ya Ziwa, tayari amerejea jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuendeleza harakati nyingine za maisha na kimuziki.

Katika video hii, Bebe Cool ameonekana kujipanga vilivyo kuanzia mavaazi yake location mpaka
aina za kamera alizotumia kwaajili ya kuleta maana halisi ya jina la wimbo huu kwa kiswahili,
Nkola Byafaayo, 'fanya maajabu'.

Bado msanii huyu hajaweka wazi kitita cha pesa alichounguza kufanya video hii, ila amewataka
mashabiki wake kufahamu kuwa itakamilika hivi karibuni tayari kwa kuwachangaza na kuwaburudisha.